• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

Ziara ya Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu

Posted on: December 7th, 2018

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Masasi leo tarehe 6/12/2018. Akiwa ziarani Masasi, Waziri Ummy amehutubia wakazi wa Masasi katika eneo la Mti Mwiba mjini Masasi. Katika hotuba yake kwa wakazi wa masasi Mhe. Ummy ameongelea upatikani wa dawa muhimu katika Hospitali ya Mkomaindo kuwa kwa sasa ni zaidi ya asilimia 90.

Katika uimarishaji wa huduma za Afya Waziri Ummy amesema kuwa ataendelea kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Masasi Mhe.Rashid Chuwachuwa ili kutatua kero mbalimbali za wananchi wa Masasi katika masuala ya afya.Katika kutatua kero mbalimbali zinazoikabili Hospitali ya Mkomaindo ikiwemo uchakavu wa gari la kubebea wagonjwa, Waziri Ummy  amehaidi kutoa gari moja la kubebea wagonjwa kwa ajili ya kuboresha utoaji huduma katika Hospitali ya Mkomaindo.

Sambamba na uimarishaji wa huduma za afya Waziri Ummy amewataka wananchi wa Masasi kujiunga na Bima ya Afya ijulikanayo kama Ushirika Afya mahususi kwa ajili ya wakulima pindi wanapopata fedha zinazotokana na malipo ya korosho. ”Tuweke utaratibu wa kuwa na uhakika wa matibabu “alisema Waziri Ummy. Bima hii inasimamiwa na Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF).

Katika hatua nyingine Waziri Ummy amewataka wananchi wa Masasi kuzingatia kanuni za afya kwa kujenga vyoo bora ili kujiepusha na magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu, “kinga ni bora kuliko tiba” alisema Waziri Ummy na kuitaka kila kaya kuwa na choo bora.

Matangazo

  • MAELEKEZO KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019 KWA WANANCHI WA HALMASHAURI YA MJI MASASI September 24, 2019
  • TANGAZO LA UPANGISHWAJI WA MABANDA KWENYE JENGO LA HALMASHAURI YA MJI ENEO LA MKUTI September 18, 2018
  • Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari July 2018 August 01, 2018
  • AJIRA MPYA KWA WALIMU WA SAYANSI,LUGHA NA MAFUNDI SANIFU MWEZI August 22, 2018
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • Wananchi wa Kijiji cha Nangose wamshukuru Mkuu wa Mkoa wa Mtwara

    December 07, 2019
  • BONANZA LA KIRAFIKI KATI YA WATUMISHI WA HALMASHAURI ZA MIJI NANYAMBA NA MASASI LAFANA

    November 09, 2019
  • Halmashauri ya Mji Masasi yatoa Mkopo wa Shilingi 79,500,000 kwa Wajasiriamali

    September 30, 2019
  • Mkuu wa Mkoa Mtwara aendelea na Kampeni ya Shule ni Choo Wilayani Masasi

    September 21, 2019
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.